У нас вы можете посмотреть бесплатно MKE ATAKA MUME WAKE APATIKANE AWE HAI AU AMEFARIKI, "HATA KAMA AMEKUFA WATUPE" MOSHI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Deogratius Shirima (34) mkazi wa kata ya Korongoni wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ametoweka katika mazingira ya utata huku pikipiki aliyokuwa akitumia kukutwa nyumbani kwa Askari Polisi mkoani humo. Mke wa Deogratius akizungumza na GADI TV akiwa nyumbani kwake wilayani humo, amesema pikipiki hiyo ilibainika kuwa ipo nyumbani kwa Askari Polisi anayetajwa kwa jina moja la Rama, baada ya mmiliki wa pikipiki hiyo kufanya kitendo cha ‘ku-track’. #breakingnews #live #like #latestnews #livestream #breakingnews #news #trending GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected] Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV Thanks.