У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING: Uhamiaji Ilivyowanasa Wahamiaji Haramu 81 DSM или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING: Uhamiaji Ilivyowanasa Wahamiaji Haramu 81 DSM Ikiwa ni siku nne zimetimia tangu kuanzishwa kwa operesheni maalum ya kutokomeza wahamiaji haramu katika mkoa wa Dar es Salaam. Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam, Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji, Novaita Edmund Mrosso, amezungumza na waandishi wa habari mapema leo Januari 21, na kutoa tathmini ya operesheni hiyo. Ndugu Mrosso amesema idara ya uhamiaji inaendelea na Oparesheni ya kutokomeza wahamiaji nchini na mpaka sasa wameshawakamata wahamiaji Haramu 81. #WahamiajiHaramu Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitte www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB