У нас вы можете посмотреть бесплатно Mungu Ni nani? || The Saints Ministers или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Lyrics Intro Macho yako Mungu huona duniani kote Hatua zetu salama nawe, Hauchoki nasi Mungu, tujapotanga mbali nawe, Watufuata kwa upole tugeukapo upo pale. Chorus Jamani tunaanguka, tunavunjika lakini Mungu ni nani Atusimamisha tena, Tumepona, tuna nguvu, tuwashindi Mungu atukuzwe. 1. Huwa nakosa maneno sijui nishukuruje, Mungu uwe kwangu Imani inadidimia, Machozi yamefumba macho ila nakutumaini, chochote kitakachokuja umenifunza.... Japo ninaanguka, ninavunjika lakini Mungu ni nani Anisimamisha tena, Nimepona, Nina nguvu, Ni mshindi Mungu atukuzwe. 2. Wakati siwezi simama tena, ninapohitaji nguvu mpya ninakutafuta kote ulipo masahibu yanisongapo. Asema tuanguke kwenye mwamba, atushike kwa mkono wa kuume, Tuwe wateule wako Bwana ujapotusimamisha.