У нас вы можете посмотреть бесплатно Aina 4 za Ndugu Hatari Kisaikolojia Wanaokumaliza Bila Kujua или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kuna sumu isiyoonekana inayoharibu familia nyingi leo. Sio uchawi. Sio laana. Ni saikolojia haribifu inayofanywa na ndugu wa karibu. Katika video hii, nakufumbua macho kuhusu aina 4 za ndugu hatari kisaikolojia ambao wanakumaliza taratibu bila wewe kugundua: ⚠️ Namba 3 ni hatari zaidi kwa sababu huua ndoto zako kabla hata hujaanza. Video hii ni kwa ajili yako kama: Unajisikia umelemewa na ndugu Unahisi hatia kila unapojaribu kusonga mbele Unataka kujifunza kuweka mipaka bila kujichukia 👉 Subscribe kwa maarifa ya saikolojia, nguvu ya akili, na maendeleo binafsi 👉 Like & Share kama video imekugusa 👉 Comment: Ni ndugu wa aina gani uliyekutana naye? Linda akili yako. Linda amani yako. #Saikolojia #NduguHatari #FamiliaSumu #AfyaYaAkili #Undugu #Mahusiano #Maisha #Motisha #UkweliWaMaisha #NguvuYaAkili #MentalHealthSwahili #PsychologySwahili #SelfDevelopment #MaendeleoBinafsi #YouTubeSwahili