У нас вы можете посмотреть бесплатно IRAN IMEHARIBU KWA KIWANGO GANI KAMBI ZA MAREKANI KATIKA MASHARIKI YA KATI? TAZAMA HAPA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
IRAN IMEHARIBU KWA KIWANGO GANI KAMBI ZA MAREKANI KATIKA MASHARIKI YA KATI? TAZAMA HAPA. Malengo ya kijeshi ya Marekani katika nchi sita, zikiwemo Bahrain na Qatar, yameshambuliwa kwa makombora na droni za Iran. Ndani ya saa chache baada ya Marekani kuanzisha ‘Operesheni Epic Fury’ dhidi ya Iran, vikosi vya Tehran vilianzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani katika Mashariki ya Kati, na kuua wanajeshi wanne wa Marekani pamoja na kuharibu vifaa vya thamani ya mabilioni ya dola. #focusnewstanzaniatv1 #iran #israel #trump #netanyahu #china #russia