У нас вы можете посмотреть бесплатно JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika muendelezo wa kuendelea kukujulisha kuhusu historia ya Zanzibar na watu wake, mwandishi wetu amekutana na BI Nasra Mohammed ambae ni mtafiti na mwandishi wa zamani, mwenyeji wa eneo la mangapwani ambae ana historia kubwa ya eneo hilo. Eneo hilo linajulikana kwa historia nyingi moja ikiwa ni chumba ambacho kinadaiwa kilitumika kama maficho ya watumwa, Bi nasra anaeleza Kwa nini chumba hicho kilijengwa.. ungana nasi Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #Zanzibar #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online cc: Sadia Rashid cc: Masoud Maganga #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu