У нас вы можете посмотреть бесплатно WANAONA DONGE | Raha Ya Harusi Upate Ladha Kama Hii (UKUMBINI) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shughuli ya harusi iliyofanyika ukumbini, ikisindikizwa na kaswida ya ndoa kutoka kwa Abnau Muhammad. Kaswida hii inabeba mawaidha ya ndoa, upendo na baraka kwa maharusi. Tunawaombea maharusi dua njema: Allah Awajalie ndoa yenye baraka, mapenzi ya kudumu, subira, heshima na kizazi chema. Ndoa ni sunna ya Mtume ﷺ na msingi wa familia imara katika Uislamu. Hii Ni Huduma Inayofanywa Na Uongozi Wa ABNAU MUHAMMAD Kwa Kuchukua Video Shooting Na Kupiga Picha Na Kupewa Album Yako Ni Kama Kwenye Shughuli Zifuatazo; 1. Harusi 2. Kitchen Party 3. Send Off 4. Birthday 5. Graduation 6. Hakika n.k Kwa Bei Nafuu Mno Yaani Tzs. 150,000/= Vile Vile Tunaimba Mubashara Kwenye Sherehe Za Harusi Kwa Kuwataja Majina Ya Bibi Na Bwana Harusi Na Ndugu Wa Harusi Hiyo Na Pia Tuna Wachezaji Maalumu Kama Vile Watoto (AMU KIDS) Wenye Weledi Mkubwa Wa Kucheza Tena Ni Kwa Bei Nafuu Sana. KARIBU UPATE HUDUMA BORA NA YENYE KUPENDEZA. Qaswida: WANAONA DONGE Msomaji: Maalim Seif Producer: Ochu Records Directed by Abnau Muhammad Prepared by ABNAU MUHAMMAD (0675633974) -INSTAGRAM: / abnaumuhammad -FACEBOOK: https://m.facebook.com/SonsOfMuhammad... #Love #SheikhHafidh #Qadiria #AhlulMadina #UkhtyMwanacha #UkhtyWasila #UkhtyAsha #AQAZ #Qaswida #UkhtyAdila #Mawada #Mahaba #Usia #Mapenzi #Utamu #Kaswida #Nakupenda #Ndoa #Harusi #Nasheed #Mpya #Tamu #Nasheed #Furaha #Upendo #Nasaha #Uchumba #Hamu #AbnauMuhammad