У нас вы можете посмотреть бесплатно Maua Yanamsifu Bikira Maria. Sehemu ya 1. Valeriana Simon или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maua ni zaidi sana ya vile unavyoyaona machoni. Kama labda wewe ni mmoja ya wale ambao ukiona maua ulikuwa unajiskia namna fulani nzuri ambayo huwezi ukamwelezea mtu mwingine, basi ujue hukukosea kitu.... maana maua huongea zaidi ya maneno tuyajuayo. MAUA NA WATAKATIFU Swala la maua linajidhihirisha zaidi na tunasikia sana katika Maisha ya watakatifu mbalimbali. mfano Mt. Yosefu, Mt. Fransisko wa Asizi, Mt. Rosa wa Lima, Mtakatifu Clara, mt. Juani Diego, Mt. Rita wa Kashia, Mt. Faustina, Mt. Antoni wa Padua, Mt. Teresia wa mtoto Yesu, Mt. Dorothy.. hawa ni baadhi tu, wapo wengine zaidi. kama wapo unaowajua, tafadhali unaweza kunijulisha hapo kwenye maoni/comments.