У нас вы можете посмотреть бесплатно HALI YA KUJIRUDIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Amos Mwijonge katika "Hali ya Kujirudia" “Hali ya kujirudia” ni sauti ya kizazi kinachochoka kuzunguka duara moja. Ni kilio cha kijana anayekataa kuzoea maisha ya kuahirisha ndoto, kulaumu mazingira na kuishi bila mwelekeo. Spoken word hii inawakumbusha vijana kwamba: mafanikio hayaji kwa bahati, ndoto hazitimii kwa kutamani, na maisha hayaheshimu anayejirudia bila kujibadilisha. Ni wito wa kuamka. Ni changamoto ya kujituma. Ni ujumbe wa kuwa serious na maisha kabla maisha hayajakufanyia maamuzi. Kama wewe ni kijana unayetaka kuvunja mzunguko wa kushindwa, kama umechoka na hali ya kujirudia, hii kazi ni yako. Karibu uitazame!!!