У нас вы можете посмотреть бесплатно KOCHA JS KABYLIE AICHIMBA MKWARA YANGA AKIZUNGUMZIA MAANDALIZI YA MWISHO, STAA ASHINDWA KUJIZUIA ... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kocha wa JS Kablyie, Josef Zinnbauer amesema wanafahamu uhitaji wa Yanga katika mechi ya kesho Februari 15, 2026 hivyo anategemea mechi ngumu na yenye ushindani. "Hatuna presha tunajua Yanga watacheza kwa ajili ya mashabiki wao lakini kwetu tunauhitaji mchezo huo, nategemea mechi ngumu kwa sababu Yanga wanauhitaji mchezo huo kushinda mabao mengi hivyo tunatarajia watashambulia sisi tumejipanga, tumekuja hapa kwanza kupata ushindi na kuonyesha kiwango bora. "Wachezaji wengi hawana uzoefu wengine ndio mara yao ya kwanza, mpira muda mwingine unahitaji nafasi moja tu kuitumia, tulipata nafasi moja kubwa katika mechi dhidi ya AS FAR Rabat hatukuweza kufanya jambo kwa hiyo muda mwingine unahitaji bahati,” amesema kocha huyo. Kwa sasa msimamo wa Kundi B unaongozwa na Al Ahly SC yenye pointi 9, ikifuatiwa na AS FAR Rabat (8), kisha Yanga (5), huku JS Kabylie ikishika mkia kwa pointi 3. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj