У нас вы можете посмотреть бесплатно Basi Darasa: Mafunzo na Elimu Juu YaUKIMWI na Virusi Vya UKIMWI (VVU) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Asasi Ya Vijana TAYOA imebuni njia mpya ya kufundisha Vijana kuhusu elimu ya Afya ya Uzazi(Sexual Reproductive Health) na Virusi Vya UKIMWI na UKIMWI, elimu hii imekua ikitolewa kupitia Basi maalum ambapo masomo mbalimbali yamekuwa yakirekodiwa kwa njia ya Video na Kuonyeshwa kwa vijana mbalimbali katika maeneo tofauti tofauti. sanjari na elimu hiyo huduma ya kupiga simu ya Afya bila malipo kwenda namba 117 imekua pia msaada mkubwa kwa vijana kuweza kupiga simu na kupata elimu zaidi kutoka kwa wataalam katika kituo cha masaada (National Helpline Services). Elimu mbalimbali zimekuwa zikitolewa ndani ya Basi Darasa ikiwemo Uzazi wa Mpango, VVU na UKIMWI, Saratani ya Mlango wa Kizazi, Ukatili wa Kijinsia pamoja na Magonjwa yaenezwayo kwa njia ya Ngono. #TimizaMalengo