У нас вы можете посмотреть бесплатно KIPINDI MAALUM KUELEKEA KILELE CHA JUBILEI MIAKA 25 YA HOSPITAL YA ST.JOSEPH SOWETO MOSHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dokta Sista Hellen Benedict Kyilyosudu CDNK Mganga mfawidhi wa Hospital ya Mtakatifu Yoseph Soweto anaelezea Historia ya Hospitali hiyo kuelekea kilele cha Jubilei ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 2001. Hospitali hii ilianzishwa na Mama Mkuu Mzalendo wa kwanza Sista Cecilia Mbuya (CDNK) ambapo kwa sasa inamilikiwa na Masista wa Shirika la Bibi yetu wa Kilimanjaro (CDNK). Kauli mbiu ya Jubilei "Miaka 25 ya Huduma, Mtakatifu Yoseph atuongoze zaidi". Radio Maria Tanzania S.L.P 34573, Mikocheni Industrial Area plot no. 125, Barua pepe: [email protected] Wavuti: www.radiomaria.co.tz Mitandao Mingine ya Kijamii: Facebook: Radio Maria Tanzania Facebook Link: / radiomaria.tanzania Instagram: Radio Maria Tanzania Instagram Link: / radiomariatanzania Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.