У нас вы можете посмотреть бесплатно Dkt. Kigwangalla Waziri Amelidanganya Bunge I Aliombe Radhi Bunge I Ajitathimini Kama Inatosha или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jamii kuhusu Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kutokufuata maelekezo ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha taarifa hiyo ndipo Wabunge wakapata nafasi ya kuchangia. Akichangia hoja ya taarifa ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya Jamii kuhusu Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) ya kutofuata maelekezo ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla, alimtaka Prof. Adolf Mkenda kujitathimini kwa sababu amelidanganya Bunge kuhusu bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kumkwamisha. Ili kuweka mambo sawa, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson alimtaka Dkt. Kigwangalla kutoa mchango kuendana na hoja ya Kamati badala ya kukaa upande mmoja unaotokana na mgogoro binafsi wa kiutendaji ulioanzia wakati Prof. Mkenda alipokuiwa Katibu Mkuu wa Dkt. Kigwangalla Wizara ya Maliasili na Utalii. #KutokaBungeni #Fiesta2022 #WekaManeno