У нас вы можете посмотреть бесплатно WANAHARAKATI WA GCAP, WATOA TAMKO BAADA YA KUTIMIA MIAKA KUMI YA SDGs или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MTANDAO wa kampeni ya kupambana na umaskini duniani Tawi la Tanzania(GCAP) katika kuadhimisha miaka kumi ya utekelezaji wa malengo Endelevu ya Dunia(SDGs) kupitia Mratibu wa Taifa 2a Shirika la SAHRiNGON Tanzania Chapter na GCAP Tanzania Coalition,Martina Kabisana amesema huu ni mtandao mkubwa wa kiamataifa unaounganisha zaidi ya mashirika 11,000 ya kiraia katika zaidi ya nchi 70 . GCAP imejikita zaidi katika umuhimu wa kupanua elimu ya msingi,kuboresha huduma za afya na kuimarisha miundombinukama hatua muhimu za kupambana na umaskini duniani. Akizungumza na waandishi wa habari Leo septemba 25,2025 Jijini Dar es Salaam,tunapotimiza miaka 10 ya SDGs,Tanzania pia imekamilisha Dira ya Maendeleo ya 2025 Hadi 2050inalenga kujenga uchumi shindani, jumuishi na endelevu. Aliongeza kuwa dira hiyo inalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kwa wastani wa zaidi ya asilimia 8, kuongeza umri wa kuishi hadi miaka 75, na kuhakikisha kaya zaidi ya asilimia 90 zinapata huduma ya nishati.