У нас вы можете посмотреть бесплатно PAKISTAN YAISHAMBULIA VIKALI AFGHANISTAN - WATU 17 WAUAWA - WENGINE WAJERUHIWA...📍PAKISTAN или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
PAKISTAN YAISHAMBULIA VIKALI AFGHANISTAN - WATU 17 WAUAWA - WENGINE WAJERUHIWA...📍PAKISTAN @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga ndani ya Afghanistan, yakilenga kile ilichokiita “kambi na maficho” ya makundi yenye silaha yanayodaiwa kuhusika na mashambulizi ya hivi karibuni, ikiwemo shambulio la kujitoa mhanga lililoua watu wengi katika msikiti wa Washia (Shia) mjini Islamabad. Hatua hiyo imeongeza mvutano kati ya nchi hizo mbili jirani za Asia Kusini, ambazo tayari zimekuwa na mahusiano ya wasiwasi kwa muda mrefu kutokana na masuala ya usalama mpakani. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx