У нас вы можете посмотреть бесплатно WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MANISPAA HAKUNA KUKAA CHINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Manispaa ya Kibaha leo tarehe 26.01.2026 imefanya uzinduzi wa kugawa madawati ,viti na meza kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari katika Manispaa hiyo ambapo ,Hafla hiyo iliogozwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Saimon pamoja na viongozi wa Manispaa hiyo kwenye Shule ya Msingi Mchepuo wa Kingereza Mkoani Ugawaji huo ni kutoka katika mapato ya ndani ya ukusanyaji kodi imetumika zaidi ya tsh Million 400 kwa ajili ya kutengeneza madawati 4000