У нас вы можете посмотреть бесплатно BWIRU MWANZA: Bishop Batenzi anajenga huu mjengo fukwe ya ziwa Victoria eneo la Bwiru или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BWIRU MZA: Shalom TV inakupeleka moja kwa moja kwenye mjengo anaojenga Bishop Batenzi pale jijini Mwanza, mjengo uliopo juu ya fukwe za ziwa Victoria eneo linaloitwa Bwiru, wanasema kiwanja chake kinahekari moja yaani kina mita 70 kwa 70 na alikinunua miaka 20 iliyopita kwa gharama ya Tzs 1,000,000/= (milioni moja tu), anasema kwasasa kiwanja kama hicho kukipata eneo hilo itakugharimu zaidi ya Tzs 100,000,000+ (milioni miamoja), Shalom TV ilifika eneo hilo na ilichukua video jinsi nyumba ilivyo ndani na kufanya mahojiano mafupi na mwenyeji wa eneo Mzee Masama wa FPCT Kitangiri, fuatilia makala hii kupitia Shalom Temple Online TV