У нас вы можете посмотреть бесплатно TANAPA PODCAST EPISODE 10 - MAANDALIZI YA TWENZETU KILELENI 2025 NA PROF. KAMUZORA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Episodi hii imeangazia mazungumzo ya kina kuhusu zoezi la upapandaji wa Mlima Kilimanjaro ambapo Profesa Kamuzora anaeleza uzoefu wake katika kupanda mlima kwa muda mrefu. Fahamu faida ya kushiriki kampeni ya “Twenzetu Kileleni katika kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru wa Taifa letu, kuhamasisha utalii pamoja na utunzaji wa mazingira. Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena - Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano - TANAPA Guest: Prof. Faustin Kamuzora - Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi UTT AMIS. Tufuatilie kupitia Platform za TANAPA Podcast. 🏷️ Apple Podcast 🏷️ Amazon Music 🏷️ YouTube Music (zamani Google Podcasts) 🏷️ Spotify na zaidi ya platifomu 15 duniani kote! TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU #TANAPAPodcast #TANAPADigital #tanapaupdates #tanzaniaparks