У нас вы можете посмотреть бесплатно Harmonize - Mwaka wangu (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwaka wangu is a Inspirational song that encourages not giving up and believing that God is omnipotent no matter how much you are despised, how much you are insulted believe in your dreams you will succeed. Harmonize - High School Stream/Download: https://smartklix.com/HighSchoo lDigital Distribution & Marketing By Ziiki Media Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255 Follow Harmonize Instagram: / harmonize_tz Twitter: / harmonize_tz Facebook: / harmonize255 TikTok: https://vm.tiktok.com/JYFv7PN/ Listen to Harmonize YouTube: / harmonize255 Audiomack: https://audiomack.com/harmonize Apple Music : / harmonize Spotify : https://open.spotify.com/artist/1eCae... Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/a... The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: [email protected] Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762 Lyrics: Yaw yaw Jeshii Lalalilaa mmh lalalaa Chiiii Eeh Ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu Na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu Eti kwani wao waweze wana nini (Mmmh) na mimi nishindwe nina nini Nishachoka siku zote kuwa wa chini wengine wanakula kipupwe ma ofisini Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa mliosema hapewi hapewi mbona amepewa mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu (dear lord) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakuna) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakuna) Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu Na wale waliosema mimi ni mguma waje wamuone mwanangu Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni Wanaokufata wakati wa shida ili wapate hafueni Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza Nami nipande dau niwasalimu kingereza When God say yes nobody can say no (When God say yes nobody can say no) When God say yes nobody can say no (When God say yes nobody can say no) Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa mliosema hapewi hapewi mbona amepewa mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu (dear lord) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakuna) Hakuna mungu kama wewe babaa (Eeeeeeh hakuna) Kama wewe yawee (Eeh hakuna #Harmonize #MwakaWangu #KondeMusic