У нас вы можете посмотреть бесплатно Tanzania: Uongozi wa mgodi wa dhahabu Shinyanga waeleza wachimbaji hawagusi mercury или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mgodi wa kuchimba dhahabu ulioko Shinyanga, Tanzania unaendelea kutoa ajira kwa wengi huku uongozi wa mgodi huo wakieleza kuwa wanachukua tahadhari kuhakikisha wafanyakazi hawagusi mercury na ngozi zao. Mercury ambayo inatumika kusafisha dhahabu inamadhara kwa mwanadamu. Ungana na mwandishi wetu aliyetembelea mgodi huo na anakuletea taarifa kamili... - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.