У нас вы можете посмотреть бесплатно Gwajima azungumzia mgogoro wa ardhi Mbopo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amewahakikishia wananchi wa Mtaa wa Mbopo, Kata ya Mabwepande kutovunjiwa nyumba zao na anayedai kumiliki ardhi ya eneo hilo. Gwajima ametoa hakikisho hilo leo, Novemba 17, 2022 alipozungumza na wananchi wa eneo hilo, baada ya malalamiko ya kuibuka kwa kampuni ya DDC inayodai inamiliki ekari 5,000 za eneo hilo. Awali, akizungumza katika mkutano huo, Mkazi wa eneo hilo tangu mwaka 1976 Abdulrahman Abdallah amesema kinachowashangaza ni hatua ya DDC kudai kulimiliki eneo hilo ilhali baada ya wananchi wana hatimiliki. Katika kuhitimisha hilo, Gwajima amewataka wananchi ambao nyumba zao zimechorwa kufuta, huku akiahidi kushirikiana na halmashauri kupima maeneo ya wananchi na kuwapatia hatimiliki