У нас вы можете посмотреть бесплатно Wema Wako - The Travellers Tz (Official Video 2025) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wema Wako - The Travellers Tz (Official Video & Audio/Lyrics Video) #wemawako #choir #gospelmusic #thetravellerstz #MuzikiWaInjili #NewRelease #automobile #music #sda #njirosdachurch Asante Mungu kwa kutuwezesha kuachia wimbo huu wa shukrani na kusifu! "Wema Wako" ni wimbo unaokukumbusha kwamba hata katika nyakati ngumu, uaminifu na wema wa Mungu hudumu daima. Tunakualika usikilize, uangalie maneno (Video & lyrics), na uunganike nasi katika ibada hii. Barikiwa sana! Maneno ya Wimbo (Lyrics): (Verse 1) Wema wako na fadhili zako Baba Kila siku twaziona Kila kunapokucha twaona makuu Na ya ajabu utendayo Sisi kuwa hivi, na maisha haya Ni kwa ajili ya rehema zako Baba (Chorus) Asante Baba, twashukuru Kwa mema unayotutendea Hatuna cha kukulipa Baba Ila mioyo yetu ipokee Asante Baba, twashukuru Kwa mema unayotutendea Hatuna cha kukulipa Baba Ila mioyo yetu ipokee (Verse 2) Umetupa afya, iliyo bora Asante Baba, twashukuru Umetupa na pumzi ya uhai Asante Baba, twashukuru Umetupa afya, iliyo bora Asante Baba, twashukuru Umetupa na pumzi ya uhai Asante Baba, twashukuru (Chorus) Asante Baba, twashukuru Kwa mema unayotutendea Hatuna cha kukulipa Baba Ila mioyo yetu ipokee Asante Baba, twashukuru Kwa mema unayotutendea Hatuna cha kukulipa Baba Ila mioyo yetu ipokee (Bridge) Umetupatia amani na furaha Jana na leo, hata milele Wema wako wadumu Umetupatia amani na furaha Jana na leo, hata milele Wema wako wadumu (Outro) Wema wako wadumu... Wema wako wadumu... Wema wako... Asante Baba twashukuru... Endelea Kuungana Nasi: Piga Simu: +255 743 549 027 Email: thetravellerstz Instagram: / the_travellers_tz Facebook: https://web.facebook.com/profile.php?... Usisahau kusubscribe kwenye channel yetu na kubonyeza kengele! 🔔 Tuachie comment yako hapo chini, utupatie ushuhuda wako wa Wema wa Bwana