У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kufuga Kuku wa Kienyeji Kibiashara – Hatua kwa Hatua или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye Kuku Farm Pro! Katika video hii, tunakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuanza na kufanikisha ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. Tutaeleza faida za kufuga kuku wa kienyeji, gharama za kuanza, aina ya kuku wa Kienyeji Plus, lishe bora, afya ya kuku, na mbinu za kupata masoko yenye faida. Hii ni video muhimu kwa mtu yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara ya kuku kwa mtaji mdogo au wa kati. Hakikisha unatazama mpaka mwisho kwa sababu kila sekunde ina maarifa muhimu ambayo yataongeza mafanikio yako. Jiunge na jamii yetu ya wafugaji kupitia WhatsApp na mitandao mingine: WhatsApp Group: https://wa.me/255734301218 Instagram: / kukufarmpro TikTok: / kukufarmpro Facebook: / kukufarmpro YouTube: / @kukufarmpro Tafadhali like, share, comment na subscribe kwa mafunzo zaidi ya kilimo na ufugaji. Asante kwa kutazama!