У нас вы можете посмотреть бесплатно MAHAKAMA INA WAJIBU MKUBWA WA KUTOA HAKI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo hufanyika Februari 2 kila mwaka, katika mkoa wa Ruvuma yamefanyika katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Songea, yakiongozwa na kaulimbiu isemayo “Mchango wa Mahakama katika Ustawi wa Maendeleo ya Taifa.” Akizungumza katika maadhimisho hayo, Jaji Mfawidhi wa Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha, amesema Mahakama ya Tanzania ni chombo pekee chenye mamlaka ya mwisho ya kutoa haki hivyo ina wajibu mkubwa wa kusimamia haki.