У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMBO MATANO YANAYOSABABISHA BARABARA YA NJIA NNE JIJINI MBEYA KUTENGENEZWA KWA KUSUA SUA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hayo yameelezwa na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mbeya Mhandisi Masige Matari katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ya kukagua mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne yenye urefu wa kilomita 29 Inayoanzia Nsalaga Hadi Ifisi. Katika taarifa yake Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mbeya Mhandisi Masige Matari amesema hadi sasa maendeleo ya ujenzi ni asilimia 20 na muda ulioisha ni asilimia 83.8 huku akitaja sababu tano za mradi huo kutekelezwa kwa kusua sua. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ametoa maagizo kwa mkandarasi kuhakikisha barabara hiyo inakamilika kwa wakati. Mradi huu wa Barabara ya Njia Nne Katika Mkoa wa Mbeya Umeanza kutekeleza machi 2023 na unatarajiwa kukamilika April 2025. #ishizweupdates #subscribesharelikecomment #ishizwetv #ishizwemedia #ishizwehq #pamojatunasonga