У нас вы можете посмотреть бесплатно Kusah x Ruby - Nadondosha (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#Kusah #nadondosha (C) Kusah Kusah Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: https://ffm.to/kusah Written & Performed by Kusah Lyrics Verse 1 Ooooooh, Baba sikuhizi bila pesa hakuna mahaba japosawa nakaba leta ata kiduchu kwangu siyo haba(X2) Mi mwenyewe mzuri kama nini naitaji manyenyekeo aah Yani mi mzuri kama nini naitaji matunzo Mwanaume gani unaringia jina Nyumba huna we ata kiwanja huna Gari huna ata pikipiki huna utaniweza kaka utaniweza wapi(X2) Chorus Nadondosha Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha Naachia na dondosha Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha(X2) Verse 2 Yani nilale mlango wazi lakini ridhiki si yangu Mwisho wa siku nipate maradhi Nilaumu moyo wagu Mwanamke gani huna dogo? Kilakitu nikikupa unazogo? Hatakama kikosa kidogo unanuna… Siku hizi ndani kama gogo Ati anitaki anataka vigogo Hata kama akiletewa kidogo anaguna guna Mwanamke gani unaringia jina Mume huna we ata mchumba huna Busara huna we ata heshima huna, Dada we utanipata wapi mie(X2) Chorus Nadondosha Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha Naachia na dondosha Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha(X2) Insumental playing Mwanaume gani unaringia jina Nyumba huna we ata kiwanja huna Gari huna ata pikipiki huna utaniweza kaka utaniweza wapi Mwanamke gani unaringia jina Mume huna we ata mchumba huna Busara huna we ata heshima huna, Dada we utanipata wapi mie. KUSAH