• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

TUME YA MADINI TV скачать в хорошем качестве

TUME YA MADINI TV 1 месяц назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TUME YA MADINI TV
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: TUME YA MADINI TV в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно TUME YA MADINI TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон TUME YA MADINI TV в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



TUME YA MADINI TV

MAPINDUZI MAKUBWA UWEZESHAJI MITAJI KWA WACHIMBAJI WADOGO ▪️Wizara ya Madini na CRDB waingia makubaliano ya utekelezaji wa programu ▪️Wachimbaji wadogo kukopeshwa Mitambo ya Uchenjuaji (CIP), Vifaa vya Kuchimba na Fedha za Uendeshaji ▪️Kikundi cha SAZA GOLD FAMILY wakaribia kuanza kunufaika kupitia leseni ya uchimbaji iliyokuwa inamilikiwa na BAFEX ▪️Ni leseni aliyoelekeza Rais Samia kwa wachimbaji wadogo Dodoma Ikiwa ni mkakati wa kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini kimitaji, Wizara ya Madini imeingia makubaliano na Benki ya CRDB kupitia programu maalum kwa ajili ya kuwasadia wachimbaji wadogo kwa kuwapatia mikopo kwa ajili ya ununuzi wa mitambo ya uchenjuaji (CIP), vifaa na gharama za uendeshaji. Akizungumza kwenye kikao cha kujadili mapendekezo ya ushirikiano kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini katika utoaji wa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini, Waziri Mavunde amesema kupitia makubaliano haya, wachimbaji wadogo wenye leseni za madini wataweza kuomba na kupatiwa mikopo na benki hiyo na kuwezesha uzalishaji wao kuwa wenye tija na mchango wao kuendelea kukua kwenye makusanyo ya maduhuli ya Serikali. Akielezea moja ya wanufaika wa programu hiyo Waziri Mavunde amesema kuwa ni pamoja na kikundi cha SAZA GOLD FAMILY ambapo Benki ya CRDB ipo mbioni kutoa mkopo wa shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ununuzi wa mtambo wa kuchenjua madini ya dhahabu na vifaa vya uchimbaji kwa kikundi hicho kinachoendesha shughuli zake katika eneo la Saza mkoani Songwe. Ameendelea kusema kuwa awali, kupitia ziara ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu katika eneo la Saza, kikundi cha wachimbaji wadogo kupitia Mbunge wa Songwe, Mhe. Philipo Mulugo waliomba kupatiwa leseni ya uchimbaji wa madini, ambapo Rais Samia alielekeza kikundi hicho kupatiwa leseni ya uchimbaji iliyokuwa inamilikiwa na Kampuni ya BAFEX. Amesema ikiwa ni mkakati wa kuendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini kikundi cha SAZA GOLD FAMILY kilipewa leseni na kuanza kuchimba madini na kuomba mkopo kwa ajili ya mtambo wa uchenjuaji wa madini na vifaa ambapo mchakato wake ulianza mara moja kupitia Benki ya CRDB. Katika hatua nyingine, Waziri Mavunde ameitaka Tume ya Madini na Benki ya CRDB kukamilisha Makubaliano ya Awali (MoU) ifikapo Jumatano ijayo ili taratibu za utoaji wa mkopo zikamilike mapema. Ameeleza manufaa ya mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini kuwa ni pamoja na uzalishaji kuongezeka na mchango wao kuongezeka kwenye ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali hasa ikizingatiwa kwa sasa wanachangia asilimia 40. Wakati huohuo, Mhe. Mavunde amezitaka Taasisi za Fedha nchini kuwaamini wachimbaji wadogo wa madini kwa kuweka mazingira rafiki ya mikopo kwani wana utajiri mkubwa wa rasilimali za madini. “Ninaomba Taasisi za Fedha kuwaamini wachimbaji wa madini kwa kuwa wenyewe kwa wenyewe wana uwezo wa kukopeshana hadi shilingi bilioni tano kwa kuaminiana, mkiweka mazingira mazuri na kuwakopesha mtapata faida kubwa sana kupitia Sekta ya Madini na kukuza mitaji yenu,” amesisitiza Waziri Mavunde. Naye Mbunge wa Songwe, Mhe. Philipo Mlugo akizungumza kwenye kikao hicho amempongeza Waziri Mavunde kwa kuwa mlezi wa wachimbaji wadogo wa madini nchini sambamba na kuwaunganisha na Taasisi za Fedha kwa lengo la kuhakikisha wanatajirika kupitia Sekta ya Madini. “Ninampongeza sana Waziri Mavunde kwa kuwa mstari wa mbele kuwapambania wachimbaji wadogo wa madini kuanzia kwenye upatikanaji wa leseni za madini, kuwaunganisha na Taasisi za Fedha kwa ajili ya upatikanaji wa mikopo na kutatua changamoto mbalimbali,” amesema Mulugo. Katika hatua nyingine ameitaka Benki ya CRDB kuajiri wataalam wa madini ili kuwa na uelewa wa Sekta ya Madini hali itakayowawezesha kutoa mikopo kwa urahisi zaidi na kuweka mazingira mazuri ya ukopeshaji. Naye Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa sambamba na kupongeza Benki ya CRDB kwa nia yake ya kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini amewataka kuendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kuhusu masuala ya fedha ili waweze kukopa. Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba ameshauri Benki ya CRDB kuendelea kuweka mazingira mazuri ya utoaji wa mikopo kwa kuangalia historia ya uzalishaji kwa wachimbaji wadogo wa madini ili waweze kukopesheka. Wakati huohuo akizungumza kwenye kikao hicho, Mwenyekiti wa Songwe Gold Family, Simon Ndaki ameshukuru sana kwa msaada wa Serikali kwa kuwaunganisha na Benki ya CRDB na kufanikisha hatua za awali za maombi ya mkopo huo. “Tunamshukuru sana Waziri wa Madini na timu yake kwa kutupatia leseni ya madini na kusimamia kikamilifu hatua zote za awali za maombi ya mkopo kwenye kikundi chetu chenye wanachama 264, tunaamini kupitia uzalishaji wetu kwa kutumia vifaa vya kisasa mchango wetu unakwenda kuwa mkubwa kwenye makusanyo ya maduhuli ya Serikali,” amesema Ndaki.

Comments
  • ЕСЛИ НА ТЕЛЕ ПОЖИЛОГО ЧЕЛОВЕКА ВДРУГ ПОЯВЛЯЕТСЯ ЭТО, ГОТОВЬТЕСЬ К ХУДШЕМУ… 5 дней назад
    ЕСЛИ НА ТЕЛЕ ПОЖИЛОГО ЧЕЛОВЕКА ВДРУГ ПОЯВЛЯЕТСЯ ЭТО, ГОТОВЬТЕСЬ К ХУДШЕМУ…
    Опубликовано: 5 дней назад
  • 1 день назад
    "ALIWANYOOSHA SANA" ASKOFU WOLFGANG PISA Azungumza Namna Kadinali Pengo Alivyoliendesha Kanisa
    Опубликовано: 1 день назад
  • RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA 1 день назад
    RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA
    Опубликовано: 1 день назад
  • TUME YA MADINI TV 1 месяц назад
    TUME YA MADINI TV
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM 2 года назад
    Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM
    Опубликовано: 2 года назад
  • 🔴#Live Bungeni: KUMECHANGAMKA - BABA LEVO AWAVUNJA MBAVU - WABUNGE HOI... | DODOMA Трансляция закончилась 3 недели назад
    🔴#Live Bungeni: KUMECHANGAMKA - BABA LEVO AWAVUNJA MBAVU - WABUNGE HOI... | DODOMA
    Опубликовано: Трансляция закончилась 3 недели назад
  • LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU 2 года назад
    LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"
    Опубликовано: 2 года назад
  • Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM) 1 год назад
    Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM)
    Опубликовано: 1 год назад
  • Выйдет 3 Кг Каловых Камней! Мягкая Чистка Кишечника Дома За Копейки 6 дней назад
    Выйдет 3 Кг Каловых Камней! Мягкая Чистка Кишечника Дома За Копейки
    Опубликовано: 6 дней назад
  • TUME YA MADINI 6 месяцев назад
    TUME YA MADINI
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • Ад на Ближнем Востоке 2 часа назад
    Ад на Ближнем Востоке
    Опубликовано: 2 часа назад
  • TUME YA MADINI 8 месяцев назад
    TUME YA MADINI
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • WATAALAMENDELEENI KUFANYA UTAFITI KATIKA SEKTA YA MADINI. 1 месяц назад
    WATAALAMENDELEENI KUFANYA UTAFITI KATIKA SEKTA YA MADINI.
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • LISSU AWAKAANGA VIKALI UPANDE WA JAMHURI/AIBUKA KIDEDEA PINGAMIZI LA- ONGEZEKO LA SHAHIDI.. 4 дня назад
    LISSU AWAKAANGA VIKALI UPANDE WA JAMHURI/AIBUKA KIDEDEA PINGAMIZI LA- ONGEZEKO LA SHAHIDI..
    Опубликовано: 4 дня назад
  • Скандал в РФ! После этого эфира пропагандиста уволили с канала Соловьева 1 день назад
    Скандал в РФ! После этого эфира пропагандиста уволили с канала Соловьева
    Опубликовано: 1 день назад
  • ⚡️ Авиаудар по скоплению военных || Новая страна вступила в войну 1 день назад
    ⚡️ Авиаудар по скоплению военных || Новая страна вступила в войну
    Опубликовано: 1 день назад
  • TUME YA MADINI TV 1 месяц назад
    TUME YA MADINI TV
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • MDAHALO WA KITAALAMU KUHUSU MATUMIZI YA AI KATIKA SEKTA YA UMMA 2 недели назад
    MDAHALO WA KITAALAMU KUHUSU MATUMIZI YA AI KATIKA SEKTA YA UMMA
    Опубликовано: 2 недели назад
  • CHUMA CHA MJERUMANI AIKATAA SIMBA |ASEMA WATAFUNGWA TENA TANO | AMPA SIFA MWINCHUI | KUMEKUCHA HUKO 1 день назад
    CHUMA CHA MJERUMANI AIKATAA SIMBA |ASEMA WATAFUNGWA TENA TANO | AMPA SIFA MWINCHUI | KUMEKUCHA HUKO
    Опубликовано: 1 день назад
  • TUME YA MADINI TV 1 месяц назад
    TUME YA MADINI TV
    Опубликовано: 1 месяц назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5