У нас вы можете посмотреть бесплатно Mhe.Jacob Mwakasole,Achangia fedha ununuzi wa kiwanja cha mazishi Kitongoji cha Mbalizi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mhe.Jacob Mwakasole Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya, Akiambatana na Akim Sebastian Mwalupindi ambaye naye ni mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mbeya Vijijini, wakifanikiwa kushiriki kwenye msiba wa mtoto wa Joseph Kagusa wakitoa heshima za mwisho, huku Jacob Mwakasole akichangia laki mbili kwa mjumbe wa shina la Pipline na kuungwa mkono elfu hamsini na Akim Mwalupindi, ikiwa lengo la fedha hizo ni kwa ajili ya ununuzi wa kiwanja cha mazishi katika kitongoji cha Mbalizi. "Nimeona namimi nitoe mchango wangu kwa kuwa suala hili la kupata kiwanja cha mazishi katika kitongoji chetu cha Mbalizi ni muhimu sana, na nina furaha sana kuona kila mmoja akiitikia zoezi hili,na mimi nitaendelea kuchangia jambo hili ili tufanikishe mapema na ombi langu kwa Wananchi wa kitongoji cha Mbalizi tuendelee kuchangia fedha ili tupate kiwanja hicho mapema ambacho ni muhimu sana kwetu"Jacob Mwakasole