У нас вы можете посмотреть бесплатно ABIRIA MOROGORO WAANDAMANA MPAKA KITUO CHA POLISI | WAPINGA USAFIRI WAO KWA HOJA NZITO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#thevillagetvshow #maandamano #bus #seo Morogoro Abiria waliokua wakisafiri kutoka Morogoro msamvu kwenda Jijini Dar es salaam wamejikuta wakilizuia basi la kampuni ya Al said wakiwa wamaenza safari kutikana na kutoridhishwa na kelele ya basi hilo huku ikiwa bado changamoto haijafahamika nini kilichosababisha kelelle hizo chini gari Hata hivyo fundi wa gari hilo aliwatuliza abiria hao nakuwapa matumaini ya kuendelea na safari kwa usalama zaidi Lakini Abiria hao walisikika wakisema, kwa jeshi la polisi kitengi cha usalama barabarani kuzuia safari hiyo Hata hivyo muda si muda walikutana na askari wa barabarani (traffic) kwa mayoe na kelele nyingi wakaomba msaada huku dereva hakua tayari kusimamisha gari hilo Muda wa dakika tano mbele kikosi cha usalama barabarani kilichukua mbelw kulisimamisha gari hilo nakusikiliza abairia nakuamua kurudi stendi kuu ya msavu kwajili ya matengenezo Hata hivyo abairia waligoma na kuomba kubadirishiwa gari hilo mvutano huo uliochukua dakika 40 ndipo uongozi wa kampuni ya mabasi ya Al said ulilazimika kuagiza basi ndogo tatu kwaajili yakubeba abiria hao ABIRIA HAWA WANAKILA SABABU YAKUPONGEZWA KWANAMNA WALIVYOPINGA VYANZO VYA AJALI KWA KUSIMAMA SAUTI YA PAMOJA KUKATAA VYOMBO VYA MOTO VISIVYORIDHISHA KUPAKIA ABIRIA WAMILIKI WA MABASI NA MADREVA LIPO LAKUJIFUNZA HAPA