У нас вы можете посмотреть бесплатно Maelezo Na Ufafanunuzi, Daftari La Wapiga Kura Na Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa, DED Tutuba Afunguka или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Siku chache zimesalia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba mwaka huu, huku zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura kuelekea uchaguzi mkuu mwakani 2025 likiendelea nchini kote, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Manyoni na akiwa kama msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Bi. Annastazia Tutuba anaweka sawa mkanganyiko uliopo kwa baadhi ya wananchi juu ya zoezi linaloendelea Hivi Sasa la uboreshaji wa daftari la wapiga kura na uchaguzi wa serikali za mitaa Hayo ameyasema hii Leo wakati akitoa maelezo ya uchaguzi wa serikali za mitaa katika ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Manyoni na kutoa wito kwa wote wenyesifa ya kujiandikisha hata kama Wana umri wa miaka 200 wajitokeze Akizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya hio, afisa Tawala wilaya ya Manyoni Leila Sawe amewataka wananchi, viongozi wa vyama vya siasa pamoja na wagombea katika uchaguzi huu kuilinda amani ya nchi pamoja na kujiepusha na vitendo vya rushwa Na hapa viongozi wa vyama vya siasa waliojitokeza kusikiliza maelezo hayo wanaeleza namna walivyojipanga Kuelekea uchaguzi huo Viongozi wa dini ni nguzo muhimu katika kuilinda amani ya nchi, nao walishiriki katika kusikiliza maelezo hayo na hapa wanatoa wito kwa waumini wao kuelekea uchaguzi huu wa serikali za mitaa NB: Asante kwa kuendendelea KUTUAMINI na KUTUFUATILIA🙏 KAJEM TV NA BLOG YETU YA KAJEMEDIA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII ipatikanayo kama KAJEMTV. Maoni Yako ni ya msingi sana kwetu kwani KAJEM TV #Tunakuzingatia. Wasiliana nasi Sasa kupitia Namba 0626007143 pamoja na mitandao yetu ya kijamii #kajemtv #news #sisinawewe #tunakuzingatia #kajem