У нас вы можете посмотреть бесплатно NAIBU WAZIRI SILINDE AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA SHULE NALIENDELE.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NAIBU WAZIRI SILINDE AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA SHULE NALIENDELE.. Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amemsimamisha kazi mkuu wa shule ya sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika shule hiyo hiyo kwa wakati huku fedha walizopewa na serikali zimeisha na ujenzi ukiwa bado haujakamilika. Naibu waziri Silinde amechukua uamuzi huo baada ya kutembelea shule hiyo iliyopo katika halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani mkoa wa Mtwara na kukuta matumizi mabaya ya fedha ambazo zilipaswa ujenzi huo uwe umekamilika toka mwishoni mwaka mwaka jana 2020 lakini umesimama baada ya fedha zote milion 180 zikiwa zimeisha huku majengo hayo yakiwa yamesimama. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline