У нас вы можете посмотреть бесплатно MAFURIKO YAVAMIA KIJIJI MTWARA| KAYA 400 MATATIZONI| WATU 1000 WAHIFADHIWA GHALANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zaidi ya Wananchi 1000 wa Kijiji cha Kivava Kata ya Mahurunga Wilaya na Mkoa wa Mtwara, wamelazimika kuyakimbia makazi yao baada ya Kijiji hicho kuvamiwa na Mafuriko na Nyumba zao kubomolewa huku Mifugo, na baadhi ya Vitu vyao vikisombwa na Maji. Ikumbukwe kuwa Mwezi kama huu (Mwezi Aprili) Mwaka jana, Kijiji hicho kilikumbwa na Mafuriko ingawa hakukuwa na Athari kubwa kama ilivyo mwaka huu 2024. Faida Online tumefika Kijijini hapo na kukuandalia taarifa hii. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL HII ILI KUPATA HABARI TETU