У нас вы можете посмотреть бесплатно Iran Haikuchagua Utawala wa Kiislam kwa Dini — Ukweli wa Kiuchumi Uliofichwa (1979–2026) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wengi wanaamini Iran iligeuka nchi ya Kiislam kwa sababu ya dini. Lakini ukweli ni mgumu zaidi — na unauma zaidi. Katika episode hii, tunarudi nyuma kabla ya 1979 kuelewa jinsi tabaka la kati la wafanyabiashara (Bazaaris) lilivyojengwa, lilivyovunjwa, na jinsi lilivyochangia kuanguka kwa utawala wa kifalme. Nashare pia uzoefu wangu binafsi nikiwa ripota wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio Tehran, nikiishi vikwazo vya kiuchumi vya Iran kwa macho yangu mwenyewe. Hii si story ya dini. Hii ni story ya pesa, mfumo, na gharama ya geopolitics.