У нас вы можете посмотреть бесплатно Madereva wa daladala Tabata chang'ombe watakiwa kutumia kituo sahihi. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Diwani wa kata ya Liwiti huko Tabata jijini Dar es salaam Bw. Edwini Mwaipaja amesema madereva wa daladala hawapaswi kulitumia eneo la Tabata Chang'ombe kama ndio kituo cha kushusha na kupandisha abiria badala yake wanapaswa kufika kwenye kituo sahihi ambacho serikali ilikitenga kwa ajili yao. Akiongea na Kurasa leo Diwani huyo amesema eneo la Tabata Chang'ombe ni eneo la makazi ya watu na halijatengwa kwa ajili ya mabasi ya daladala kushusha na kupakia abiria hivyo madereva wanaofanya hivyo wanakiuka utaratibu ambao uliwekwa kwa wao. Amesema tayari walishawahi kuongea na dereva mmoja mmoja wa mabasi hayo ya Daladala lakini wanaonekana kukaidi hivyo wamejipanga kuwaita kwa umoja wao ili kuzungumza nao juu ya kituo hicho.