• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??. скачать в хорошем качестве

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??. 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.

MTOTO KUCHEZA CHINI YA KITOVU HUMAANISHA NINI? JE NI KAWAIDA? Ukweli ni kwamba Mjamzito anayebeba Mimba kwa Mara ya kwanza huanza kuhisi Mtoto kucheza Wiki ya 18 hadi Wiki 20 kwenda juu, Mjamzito ambaye anabeba Mimba kwa Mara ya Pili,Ya Tatu au zaidi huweza kusikia Mtoto anacheza kuanzia wiki ya 16 hadi 18 kwenda juu. SABABU ZINAZOPELEKEA MTOTO KUCHEZA CHINI YA KITOVU KTK TUMBO LA MJAMZITO. Kuna sababu kuu Mbili ambazo hupelekea Mjamzito kuhisi Mtoto anacheza sehemu ya chini ya Tumbo yaani chini ya Kitovu haijalishi upande wa Kulia au Kushoto sehemu ya chini ya Kitovu. 1. Umri wa Mimba/Ujauzito. Kwa kawaida Wanawake wengi huanza kusikia Mtoto akicheza Mimba ikifikisha Wiki 16 hadi Wiki 20 ndio kipindi ambacho Wajawazito wengine husikia Mtoto akicheza Chini ya Kitovu ktk Tumbo lao, Mjamzito ambaye ana Mimba chini ya Wiki 22 au Miezi Mitano na Wiki 2, Mara nyingi husikia Mtoto akicheza Chini ya Kitovu hii ni kwa sababu Mimba inapofikisha Wiki 20 Mji wa Uzazi huwa umefika kwenye Kitovu na sehemu ya chini ya Tumbo hususani sehemu ya chini ya Kitovu, Ndio maana kwa asilimia nyingi Mtoto hucheza chini ya Kitovu. 2. Mkao wa Mtoto Tumboni mwa Mjamzito. Hii huwa zaidi kwa Wajawazito wenye Mimba kuanzia Wiki 22 kwenda juu, Kumbuka sehemu ambazo Mtoto huchezesha au huwa na Mtikisiko zaidi akiwemo ni Miguu na Mikono ya Mtoto. Hivyo wakati mwingine Mtoto anapocheza kwenye Tumbo la Mjamzito inawezekana kabisa kujua Mtoto amekaa Mkao upi katika Tumbo la Mjamzito. A. Mtoto aliyegeuza Kichwa chini (Cephalic Presentation) Endapo Mtoto amegeuza Kichwa Chini inategemeana zaidi na alivyogeuza Miguu na Mikono yake lakini huweza kupelekea Mtikisiko wa Tumbo Sehemu ya juu ya Kitovu, sehemu ya katika ya Kitovu au Pembeni mwa Tumbo yani Kushoto au Kulia. B. Mtoto aliyekaa kwa Ulalo. (Transverse Lie) Endapo Mtoto amekaa Ulalo maana yake Mikono na Miguu inawezekana ikawa upande wa Kushoto au Kulia hivyo sehemu zitakazokuwa na Mtikisiko zaidi ni upande wa Kushoto, katikati au Kulia mwa Tumbo la Mjamzito. C. Mtoto aliyetanguliza Matako/Makalio. ( Breech Presentation) Endepo Mtoto ametanguliza Matako inawezekana akawa anacheza zaidi chini ya Kitovu lakini hutegemea zaidi Aina ya Breech endapo ametanguliza Makalio na amekunjua maungio ya kwenye goti (Frank Breech) huweza kuwa anacheza zaidi upande wa juu wa Tumbo, Kushoto sehemu ya juu ya Kitovu au Kulia sehemu ya juu ya Kitovu katika Tumboni mwa Mjamzito wakati mwingine sehemu ya katika mwa Tumbo la Mjamzito (Kitovuni) KUMBUKA: Ili uweze kujua mkao wa Mtoto unatakiwa kwenda hospital ukachunguzwe na wahudumu wa Afya ambapo watakagua Tumbo lako na kujua kuwa Mtoto amekaaje Tumboni au Unaweza kufanya Ultrasound na itakusaidia kujua mwanao amekaaje Tumboni. Endapo Mtoto ametanguliza Makalio na Mimba haijafikisha Wiki 36 basi haina shida na hutakiwi kuwa na hofu, kwa sababu Mtoto anakuwa Breech au Ametanguliza Makalio endapo Mimba imefikisha wiki 36 kwenda Juu na hii huweza kupelekea changamoto wakati wa Kujifungua. Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.    / drmwanyika   Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.   / dr._mwanyika   Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://mamaafya.com/ Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.   / japideafya   Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://play.google.com/store/apps/de... #MtotoKuchezaTumboni #DrMwanyika #MamaAfya

Comments
  • Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??. 3 года назад
    Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito 4 года назад
    Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito
    Опубликовано: 4 года назад
  • Fecundação - Desenvolvimento Embrionário - Fonovim Fonoaudiologia Neurológica 10 лет назад
    Fecundação - Desenvolvimento Embrionário - Fonovim Fonoaudiologia Neurológica
    Опубликовано: 10 лет назад
  • JE MAUMIVU UKENI KWA MJAMZITO HUTOKANA NA NINI?? | JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU UKENI KTK UJAUZITO!! 3 года назад
    JE MAUMIVU UKENI KWA MJAMZITO HUTOKANA NA NINI?? | JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU UKENI KTK UJAUZITO!!
    Опубликовано: 3 года назад
  • Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni?? 5 лет назад
    Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni???? 5 лет назад
    Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni! 2 года назад
    Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni!
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Mtoto Kucheza Tumboni Kushoto NA Kulia NI Mapacha?? (Mtoto Kucheza Tumboni Miezi Mingapi?) 3 года назад
    Je Mtoto Kucheza Tumboni Kushoto NA Kulia NI Mapacha?? (Mtoto Kucheza Tumboni Miezi Mingapi?)
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito! 1 год назад
    Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!
    Опубликовано: 1 год назад
  • JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA! 3 года назад
    JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA!
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?. 3 года назад
    Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8 2 года назад
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Опубликовано: 2 года назад
  • #EXCLUSIVE : MREMBO HUYU KUTOKA TAMTHILIA YA KOMBOLELA AFUNGUKA KUFUMANIWA 3 года назад
    #EXCLUSIVE : MREMBO HUYU KUTOKA TAMTHILIA YA KOMBOLELA AFUNGUKA KUFUMANIWA
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito) 2 года назад
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Опубликовано: 2 года назад
  • Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa 2 месяца назад
    Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация 10 месяцев назад
    Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • Surah Yasin (Yaseen) سورة يس | Relaxing heart touching voice | Zikrullah TV 1 год назад
    Surah Yasin (Yaseen) سورة يس | Relaxing heart touching voice | Zikrullah TV
    Опубликовано: 1 год назад
  • Индия. БЕЗУМНАЯ грязь, антисанитария и хаос. Не верю глазам 2 дня назад
    Индия. БЕЗУМНАЯ грязь, антисанитария и хаос. Не верю глазам
    Опубликовано: 2 дня назад
  • Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)! 3 года назад
    Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)!
    Опубликовано: 3 года назад
  • «Если ты войдёшь в ЭТОМ ПЛАТЬЕ — я женюсь на тебе!» — рассмеялся арабский миллиардер… но через 2 недели назад
    «Если ты войдёшь в ЭТОМ ПЛАТЬЕ — я женюсь на тебе!» — рассмеялся арабский миллиардер… но через
    Опубликовано: 2 недели назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5