У нас вы можете посмотреть бесплатно MADEREVA WAKAMATWA ,UKAGUZI MKALI WA MAGARI WAFANYIKA SEGERA huku MALORI YABAINIKA KUTOKUA NA BREKI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ukiukwaji wa Sheria za barabarani na ukosefu wa elimu ya matumizi sahihi ya barabara zimetajwa kama chanzo Cha ajali nyingi barabarani. hayo yamebainishwa na Kamishna Msaidizi wa polisi Joseph Mwakabonga ambaye ni mkuu wa operesheni kikosi cha usalama barabarani Tanzania Kwenye Operesheni maalumu ya kukagua magari Katika stand kuu ya segera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga Kwa upande wake Mkuu wa usalama barabarani Mkoa wa Tanga Mrakibu muandamizi wa jeshi la polisi Wile Mwamasika amesema operesheni hiyo ni endelevu na hatua kali zitachukuliwa kwa madereva watakaokutwa na makosa