У нас вы можете посмотреть бесплатно ZANZIBAR WATANGAZA BEI MPYA ZA MAFUTA, SERIKALI YAENDELEA KUFIDIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ZANZIBAR WATANGAZA BEI MPYA ZA MAFUTA, SERIKALI YAENDELEA KUFIDIA Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeendelea kufidia gharama za bei za mafuta kwa shilingi mia mbili na hamsini kwa lita ambapo bei hizo bado zimeendelea kupanda kutokana na kupanda kwa bei katika soko la Dunia Hayo yamebainishwa na Afisa Uhusiano kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar ZURA Mbarak Hassan wakati akitoa taarifa ya bei za mafuta zitakazoanza kutumika April 9, mwaka huu Amezitaja sababu za kupanda kwa bei hizo ni pamoja na kupanda kwa soko la bei za mafuta Duniani pamoja na vita vinavyoendelea Urusi Ameitaja bei ya mafuta ya Petroli kwa mwezi huu itauzwa kwa shilingi 2,642 ukilinganisha na bei ya mwezi Machi ambapo ilikua ni 2,459 huku bei ya Dizeli kwa mwezi April ikifikia 2,644 na bei ya mafuta ya Taa ni 2,173 WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm