• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

KILIMO BORA CHA NYANYA;Tumia mbegu bora,andaa shamba vizuri na zingatia ushauri wa wataaramu скачать в хорошем качестве

KILIMO BORA CHA NYANYA;Tumia mbegu bora,andaa shamba vizuri na zingatia ushauri wa wataaramu 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KILIMO BORA CHA NYANYA;Tumia mbegu bora,andaa shamba vizuri na zingatia ushauri wa wataaramu
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: KILIMO BORA CHA NYANYA;Tumia mbegu bora,andaa shamba vizuri na zingatia ushauri wa wataaramu в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно KILIMO BORA CHA NYANYA;Tumia mbegu bora,andaa shamba vizuri na zingatia ushauri wa wataaramu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон KILIMO BORA CHA NYANYA;Tumia mbegu bora,andaa shamba vizuri na zingatia ushauri wa wataaramu в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



KILIMO BORA CHA NYANYA;Tumia mbegu bora,andaa shamba vizuri na zingatia ushauri wa wataaramu

Kilimo cha nyanya na mbegu bora za rijk zwaan,jarrah mtaji wa kilimo cha nyanya gharama za kilimo cha nyanya utajiri wa kilimo cha nyanya kilimo cha nyanya kiangazi pdf kilimo cha nyanya wakati wa mvua kilimo cha nyanya 2020 kilimo cha nyanya ndefu kilimo cha nyanya masika Kanuni na Mbinu za kuhamisha miche toka Kitaluni kwenda shambani (Transplanting Rules) • Mwagilia miche masaa machache kabla ya kuhamishia miche shambani ili wakati wa kung’oa miche mizizi ishikamane vizuri na udongo. • Kabla ya kuhamisha miche, mashimo yawe yamekwisha andaliwa katika nafasi zinazo stahili huko shambani. • Miche ihamishwe wakati wa jioni ili kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na jua. • Kwa ujumla karibu mazao yote ya mboga mboga huwa tayari kuhamishiwa shambani yakiwa na majani kamili kati ya 2-6 pamoja na mizizi mingi iliyostawi vizuri. • Mche lazima uwe na afya nzuri, uwe umenyooka vizuri, hivyo miche yote iliyonyongea au myembamba kupita kiasi isichukuliwe wakati wa kupeleka shambani. • Ng’oa miche kwa uangalifu hasa pamoja na udongo wake kwa kutumia vifaa husika ili mizizi isidhurike. • Miche ihamishiwe shambani mapema mara baada ya kung’olewa toka kitaluni. • Wakati wa kuhamisha miche, uangalifu mkubwa utumike ili kutoharibu miche/mizizi. Maandalizi ya Shamba la Nyanya • Shamba la nyanya liandaliwe mwezi 1-2 kabla ya kupanda miche. • Mara baada ya kulima choma nyasi juu ya udongo au ondoa magugu yote yanayoweza kuhifadhi wadudu na magonjwa ya nyanya. • Siku moja au mbili kabla ya kuhamishia nyanya shambani, mwagilia sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya kuhamishia nyanya. • Nafasi kati ya mche hadi mche ni wastani wa sentimita (50-60) x (50-75) kutegemeana na aina au hali ya hewa. Kama ni kipindi cha baridi ni vyema nyanya zikapandwa mbalimbali ili kuruhusu mzungungo wa hewa na kuzuia magonjwa ya fangasi. Jinsi ya kupanda miche: • Hamisha miche toka kitaluni pamoja na udongo wake • Sambaza mizizi vizuri kwenye shimo bila kukunja. • Fukia miche kina kile kile ambacho shina lilikuwa limefukiwa bustanini. • Mwagilia maji ya kutosha kulingana na unyevunyevu uliopo kwenye udongo kasha weka matandazo na kivuli ili kupunguza uharibifu unaosababishwa na mionzi ya jua. Mambo muhimu ya kuzingatia baada ya kuhamishia Miche Shambani • Kagua shamba mara kwa mara ili kujua maendeleo au matatizo yaliyoko shambani mapema • Hakikisha shamba ni safi wakati wote, palilia shamba na hakikisha magugu yote hasa yale ya jamii ya nyanya yamelimiwa chini. • Ondoa mimea iliyoshambuliwa na magonjwa au ondoa sehemu zilizoshambuliwa, kisha zifukiwe chini au kuunguza moto. • Punguza matawi na vikonyo ili kuongeza mwanga wa kutosha kwenye nyanya pamoja na kuruhusu mzunguko wa kutosha wa upepo na kusababisha mazingira magumu ya wadudu maadui kwenye nyanya, hasa wale wanaopenda kiza na magonjwa yanayopendelea unyevunyevu. JARRAH RZ F1 Mbegu Mpya chotara ya NYANYA, Nyanya fupi kwa kulima nje, kwa wakati wa kiangazi na joto kwa kutumia umwagiliaji, instahimili magonjwa ya virusi kama TYLCV wanaoenezwa na nzi nyeupe. Sifa Kuu za Jarrah RZ F1 • Mmea wenye nguvu na majani ya kutosha kufunika matunda yasiungue kwa Jua • Matunda ya rangi moja na magumu, hivyo ni rahisi kusafirisha na hukaa muda mrefu baada ya kuvunwa. • Matunda yana umbo la nyanya mshumaa inayokubalika sana na wanunuzi/soko la Tanzania • Uzito wa tunda ni 80-100gr, wastani wa uzao ni kg kwa mmea, sawa na tani kati ya 36 kwa ekari (Tenga 1000) Outdoor/Open Field, irrigated crop in the dry hot weather, excellent resistance against white fly transmitted TYLCV, Semi determinate plum Tomato • Good vigour and canopy cover, to avoid sun burn. • Unicolor, firm fruit for longer shelf life and good transportability. • Elongated plum fruit shape, perefered in the Tanzanian Local markets. • Fruit weight 80-100gr, with an excellent average yield of 6kg per plant, 36 tonnes per acre #mkulimasmart #shambadarasa

Comments
  • Unapenda Kuanza kulima mchicha? 1 год назад
    Unapenda Kuanza kulima mchicha?
    Опубликовано: 1 год назад
  • Покупка водяного буйвола во Вьетнаме! Рынок буйволов и лошадей БАК Ха. 6 часов назад
    Покупка водяного буйвола во Вьетнаме! Рынок буйволов и лошадей БАК Ха.
    Опубликовано: 6 часов назад
  • KILIMO CHA MBOGAMBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA:Kupitia mradi wa The Young World Feeders-Dodoma. 5 лет назад
    KILIMO CHA MBOGAMBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA:Kupitia mradi wa The Young World Feeders-Dodoma.
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Amazing Birds And Their Extraordinary Nests Stunning Nature Scenery Video | 4K Nature ASMR 4 часа назад
    Amazing Birds And Their Extraordinary Nests Stunning Nature Scenery Video | 4K Nature ASMR
    Опубликовано: 4 часа назад
  • TUMIA LOCAL CAGE KUPUNGUZA BAADHI YA GHARAMA ZA MAGONJWA. 8 месяцев назад
    TUMIA LOCAL CAGE KUPUNGUZA BAADHI YA GHARAMA ZA MAGONJWA.
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • I Discovered Ghana's Largest Onion Market 🇬🇭(Dominase) 2 недели назад
    I Discovered Ghana's Largest Onion Market 🇬🇭(Dominase)
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Prawda o kręceniu Terminatora szokuje 22 часа назад
    Prawda o kręceniu Terminatora szokuje
    Опубликовано: 22 часа назад
  • USA wprowadzają wojska / Flota zaatakowana / Zapadła decyzja 13 часов назад
    USA wprowadzają wojska / Flota zaatakowana / Zapadła decyzja
    Опубликовано: 13 часов назад
  • WIELKA WYPRAWA MARII WIERNIKOWSKIEJ W GŁĄB ROSJI #1 22 часа назад
    WIELKA WYPRAWA MARII WIERNIKOWSKIEJ W GŁĄB ROSJI #1
    Опубликовано: 22 часа назад
  • KILIMO CHA MBOGA MBOGA AINA YA CHINESE(CHAINIZI).Vijana tujikomboe kwa kulima mboga inalipa 4 года назад
    KILIMO CHA MBOGA MBOGA AINA YA CHINESE(CHAINIZI).Vijana tujikomboe kwa kulima mboga inalipa
    Опубликовано: 4 года назад
  • #ISLAMIC_QUIZ - JE NI NABII GANI BADO YU HAI MPAKA SASA? JIFUNZE NA ELIMISHA PICHA 3 недели назад
    #ISLAMIC_QUIZ - JE NI NABII GANI BADO YU HAI MPAKA SASA? JIFUNZE NA ELIMISHA PICHA
    Опубликовано: 3 недели назад
  • NGÀY 18-12AL -CÂY BUNG QUÁ NHIỀU-CHIA SẺ XỊCH THUỐC-TƯỚI DƯỠNG SĐT 0385233423 5 часов назад
    NGÀY 18-12AL -CÂY BUNG QUÁ NHIỀU-CHIA SẺ XỊCH THUỐC-TƯỚI DƯỠNG SĐT 0385233423
    Опубликовано: 5 часов назад
  • Shamba darasa la Bibi Michael, Kasangezi,Kasulu,Kigoma 11 месяцев назад
    Shamba darasa la Bibi Michael, Kasangezi,Kasulu,Kigoma
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • Aina 4 Za Sungura BORA Kwa Ufugaji 7 месяцев назад
    Aina 4 Za Sungura BORA Kwa Ufugaji
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • La vérité que personne ne dit sur le maraîchage : le temps 🤔 4 недели назад
    La vérité que personne ne dit sur le maraîchage : le temps 🤔
    Опубликовано: 4 недели назад
  • Je..! una mtaji mdogo kufuga Nguruwe? zingatia haya 3 месяца назад
    Je..! una mtaji mdogo kufuga Nguruwe? zingatia haya
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • MICHE MILIONI SITA YA KAHAWA YAGAWIWA BURE KWA WAKULIMA WILAYANI MBINGA. 3 недели назад
    MICHE MILIONI SITA YA KAHAWA YAGAWIWA BURE KWA WAKULIMA WILAYANI MBINGA.
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Mavuno Bora huanza na Mbegu Bora Kutoka Seed Co pekee 10 месяцев назад
    Mavuno Bora huanza na Mbegu Bora Kutoka Seed Co pekee
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • FAHAMU_ZAO_LA_SOFT LETTUCE_HATUA_KWA_HATUA_PAMOJA_NA_ FAIDA_ZAKE_ 3 недели назад
    FAHAMU_ZAO_LA_SOFT LETTUCE_HATUA_KWA_HATUA_PAMOJA_NA_ FAIDA_ZAKE_
    Опубликовано: 3 недели назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5