У нас вы можете посмотреть бесплатно TISEZA YAHAMASISHA UWEKEZAJI WA NDANI KATAVI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imehamasisha wananchi wa mkoa wa Katavi kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa kusajili biashara na kuanzisha miradi ya uzalishaji mali ili kunufaika na unafuu wa kodi na masoko. Akizungumza wakati wa ziara ya utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha uwekezaji wa ndani, Meneja Uhamasishaji Uwekezaji wa Ndani kutoka TISEZA, Felix John, amesema lengo la kampeni hiyo ni kuwahamasisha uwekezaji wa ndani kwa wananchi. Quintus Kassese ni Mmwakilishi wa Kampuni ya Jema Africa katika kiwanda cha Uchenjuaji wa Makenikia Jema Jione kilichopo Manispaa ya Manda amesema moja ya faida za kujiunga na TISEZA ni kupata unafuu wa kodi kipindi wanaagiza mitambo ya Uchenjuaji wa Makenikia hayo. Aidha TISEZA imetembelea kiwanda kinachozalisha maji ya kunywa ambapo wametoa elimu kwa muwekezaji huyo na kumshauri kujisajili na TISEZA Ili kukuza biashara yake huku Afisa biashara mkoa wa Katavi amewataka wananchi kuchangamkia fursa ya uwekezaji ndani ya mkoa wa Katavi.