У нас вы можете посмотреть бесплатно MKANDARASI BARABARA YA ITON- LUSITU HAJASIMAMA KAZI AME SLOW DOWN ''MENEJA TANROADS MKOA WA NJOMBE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Meneja wa Tanroads mkoa wa Njombe leo augost 28 2024 Amewaambia ajumbe a kikao cha maendeleo ya bodi ya barabara TANROADS kuwa ujenzi wa barabara ya itoni -lusitu haujasimama na kwamba mkandarasi anaendelea na shughuli mbalimbali katika mradi huo. Ameyasema hayo wakati akijibu hoja za wajumbe waliolalamikia barabara hiyo kutoendelea kujengwa huku hofu ikitanda kuelekea kipindi cha mvua ambapo kwa msimu wa mvua uliopita ilikua vchanagamoto kupitika. Baadhi ya wajumbe waliozungumzia barabara hiyo ni pamoja na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa Wise Mgina na makamu mwenyekiti halmashauri ya mji wa njombe nestory mahenge