У нас вы можете посмотреть бесплатно MAAJABU ya HIFADHI ya RUBONDO, WATALII KUVUA SAMAKI KWA MIKONO, SOKWE KUONEKANA KIRAHISI.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAAJABU ya HIFADHI ya RUBONDO, WATALII KUVUA SAMAKI KWA MIKONO, SOKWE KUONEKANA KIRAHISI.. Kufuatia Kuwepo kwa Vivutio vingi katika Hifadhi Ya Taifa ya Rubondo iliyopo Mkoani Geita Wilayani Chato wa Tanzania Na Wageni Kutoka Nchi Mbali Mbali Wanakaribishwa kutembelea Vivutio hivo ili waweze Kuona Uzuri wa Mbuga hiyo. Wahifadhi wa Mbuga Hiyo Wamesema Kuna Vivutio vingi vinapatikana Kwenye Hifadhi hiyo Ikiwa ni Pamoja na Uvuvi wa Kitalii ambapo Mgeni Anapata nafasi Ya Kuvua Samaki Kwa Mikono yake kwa kutumia Ndoano Maalum Ya Kuvulia Samaki. Wamesema Aina Nyingine nikutembea kwa Miguu na kuvuta hewa Safi Ya Msitu Mkubwa Pamoja Na Kutazama Ndege Wa Aina Yake Pia Wamesema Kunautalii wa kutaazama Sokwe wanyama ambao wanavutia na wanafanana na Binadam.