У нас вы можете посмотреть бесплатно KILIMO CHA MAHINDI NA MPUNGA |LIMA KISASA | MATUMIZI YA ZANA BORA ZA KILIMO | AGRICOM TANZANIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jitihada za kuhakikisha ukuaji wa Kilimo zinaenda sambamba na matumizi ya mitambo na zana za kisasa ili kuboresha kilimo na kutumia muda na rasilimali chache zenye kuleta tija na faida katika kilimo. Meneja wa Kanda ya Kusini wa kampuni inayosambaza zana za kilimo bora na za kisasa Agricom Africa Limited @agricomafrica ndugu Joseph Manoni akizungumzia umuhimu wa matumizi ya zana za kisasa za kilimo. Kampuni ya Agricom Africa Limited inauza na kusambaza zana bora za kisasa kama Matrekta, Power Tillers, Combine Harvesters n.k ambazo Mkulima anatumia kuanzia maandalizi ya shamba (Ardhi); upandaji na utunzaji wa Mazao na baada ya kuvuna. Makao yao makuu kwa Mbeya ni Igurusi lakini ofisi zao zingine zipo Ubaruku - Mbeya na Mlowo - Songwe. #shambahub #kilimotanzania #ajenda1030 #agricomafricaltd #mechanizationagriculture