У нас вы можете посмотреть бесплатно DKMZV KKKT USHARIKA WA EBENEZER KANISA KUU || IBADA YA JUMAPILI || IBADA YA PILI | TARH 15/02/2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SIKU YA BWANA YA 7KABLA YA PASAKA (QUINQUAGESIMA/ESTOMIHI) NENO KUU: YESU AIENDEA NJIA YA MATESO YERUSALEMU. ZABURI YA SIKU - ZABURI. 48: 1-8 1.Bwana ndiye aliye mkuu,na mwenye kusifiwa sana.Katika mji wa MUNGU wetu, katika mlima wake mtakatifu. 2.Kuinuka kwake ni mzuri sana, ni furaha ya dunia yote. Mlima sayuni pande za kaskazini, mji wa mfalme mkuu. 3. MUNGU katika majumba yake amejijulisha kuwa ngome. 4. Maana, tazama, wafalme walikusanyika, walipita wote pamoja. 5.Waliona, mara wakashangaa; Wakafadhaika na kukimbia. 6.Papo hapo tetemeko liliwashika, utungu kama wa mwanamke azaaye. 7. Kwa upepo wa mashariki wavunja jahazi za tarshishi. 8. Kama tulivyosikia, ndivyo tulivyona, katika mji wa BWANA wa majeshi. Mji wa MUNGU wetu, MUNGU ataufanya imara hata milele. Rum. 11: 25-27. 25. Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili, ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israel, mpaka utimilifu wa mataifa uwasili. 26. hivyo Israel wote wataokoka, kama ilivyoandikwa, mwokozi atakuja kutoka Sayuni atamtenga Yakobo na maasia yake. 27. Na hili ndilo agano langu nao, Nitakapowaondolea dhambi zao. Mt 17:22-23. 22. Nao walipokuwa wakikaa Galilaya ,Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka . 23. Wakasikitika san. Karibu tushiriki pamoja katika IBADA TAKATIFU YA JUMAPILI kutoka KKKT DKMZV EBENEZER KANISA KUU Shinyanga. Pia karibu tushiriki baraka hizi kwa kutoa sadaka yako kupitia akaunti zetu hapa chini, na MUNGU akubariki. CRDB: 0152775292000 KKKT UINJILISTI MISSION NA UWAKILI NMB: 32410023694 KKKT KANISA KUU VIKUNDI HALOPESA [LIPA NAMBA]: 0614575781 KKKT EBENEZER AIRTEL MONEY [LIPA NAMBA]: 65266434 KKKT EBENEZER SHY MIXX BY YAS [LIPA NAMBA]: 43397145 KKKT KANISA KUU SHINYANGA MAWASILIANO ZAIDI, MAOMBI NA USHAURI CHAPLAIN: Mchg. Nzinyangwa MKIRAMWENI Mobile: 0755063538. Email: nzinyacornelio2015@gmail.com Email: ebenezerdkmzvshinyanga@gmail.com Mchg: JOHN LYANGA Mobile: 0683077010 Mchg: YONA KIULA Mobile: 0615530473 Karibu tushiriki pamoja katika IBADA TAKATIFU YA JUMAPILI kutoka KKKT DKMZV Ebenezer KANISA KUU Shinyanga. Pia karibu tushiriki baraka hizi kwa kutoa sadaka yako kupitia akaunti zetu hapa chini, na MUNGU akubariki. CRDB: 0152775292000 KKKT UINJILISTI MISSION NA UWAKILI NMB: 32410023694 KKKT KANISA KUU VIKUNDI HALOPESA [LIPA NAMBA]: 0614575781 KKKT EBENEZER AIRTEL MONEY [LIPA NAMBA]: 65266434 KKKT EBENEZER SHY MIXX BY YAS [LIPA NAMBA]: 43397145 KKKT KANISA KUU SHINYANGA MAWASILIANO ZAIDI, MAOMBI NA USHAURI CHAPLAIN: Mchg. Nzinyangwa MKIRAMWENI Mobile: 0755063538. Email: nzinyacornelio2015@gmail.com Email: ebenezerdkmzvshinyanga@gmail.com Mchg: JOHN LYANGA Mobile: 0683077010 Mchg: YONA KIULA Mobile: 0615530473