У нас вы можете посмотреть бесплатно KIWANDA CHA KUTENGENEZA KARATASI NA PLASTIKI CHAZINDULIWA MKURANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI Serikali kupitia Kituo cha uwekezaji Tanzania-TIC imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayochagiza uwekezaji nchini hali inayovutia wawekezaji kuanzisha viwanda katika maeneo mbalimbali na hivyo kukuza uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kiwanda kipya cha kutengeneza karatasi, bidhaa za plastiki na za majumbani kinachimilikiwa na kampuni ya Goodwill AbdulWahid Mohammed ambaye ni mwanzilishi wa eneo la viwanda la kusini mwa Tanzania amesema kuwa kiwanda hiko kitakuza kilimo cha Mihogo katika maeneo hayo kwa kuwa ndiyo malighafi kubwa inayohitajika katika uzalishaji wa karatasi Kwa upande wake meneja uhusiano kwa umma kutoka kampuni ya Goodwill Sharifa Chen amesema kiwanda hiko kilichopo kijiji cha mkiu wilaya ya mkuranga kitazalisha aina mbalimbali za karatasi huku akieleza kuwa mkakati ni kuwajengea uwezo watanzania kufanya kazi za kitaalamu na hivyo kupunguza ajira za wageni kiwandani hapo Naye mwenyekiti wa kijiji cha Mkiu amewataka wakazi wa maeneo hayo hususan vijana kujitokeza kuchangamkia fursa za ajira kiwandani hapo huku mmoja wa wananchi akishukuru uwepo wa kiwanda hiko kwani kitasaidia kuboresha maisha yao #mainfmcup2025 #mainfmupdates