У нас вы можете посмотреть бесплатно Maisha ya Kazi za Shamba Canada 🇨🇦 | Real Farm Jobs for Africans 2025! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, unatafuta kazi halali za mashambani Canada? Katika video hii ya Leza TV Canada, nimeenda kutembelea mashamba ya kweli ili kukuonyesha mazingira halisi ya kazi hizi. Hii ni fursa kwa Wakenya, Wanyarwanda, Watanzania, Wacongo na Waafrika wote wanaotaka kuja kufanya kazi Canada kupitia njia halali. Tazama hadi mwisho ujifunze kuhusu mshahara, maisha ya shambani, na jinsi ya kupata kazi hizi kupitia mawakala walio na leseni. 🇨🇦 Tazama video hii ikiwa unatafuta: Kazi za farm worker Canada 2025 Employer-specific work permit Maisha ya wafanyakazi wa mashamba Canada Kazi Canada kwa Waafrika Jinsi ya kuja Canada kupitia kazi 🔔 *Subscribe kwa Leza TV Canada kwa video zaidi kuhusu maisha, kazi na uhamiaji Canada.* #KaziCanada #FarmJobsCanada #LezaTV #WaafrikaCanada #JobsForAfricans #Canada2025 #FarmWorkerPermit #FarmJobsCanada #WaafrikaCanada #CanadaJobs2025 #MashambaCanada #WorkInCanada #CanadaImmigration #EastAfricansInCanada #EmployerPermit unaweza kujiunga kwenye group letu la what's app bure link hii hapa chini 👇 👇👇👇👇👇 https://chat.whatsapp.com/FmGBr19PBPp...