У нас вы можете посмотреть бесплатно 🕊️ UTUPE HAKI NA AMANI YA KWELI - KWAYA YA MT. YUDATHADEI NJOMBE | NA MDAGE GN 🕊️ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu usikilize wimbo wa kipekee “Utupe Haki na Amani ya Kweli” ulioimbwa na Kwaya ya Mt. Yudathadei – Parokia ya Njombe, mtunzi akiwa Mdage GN. Wimbo huu uliimbwa kanisani katika maadhimisho maalum ya Siku ya Kuombea Hakina Amani ya Tanzania. Ni sala ya kina kwa Mungu atupe zawadi ya amani ya kweli na haki ya kudumu katika taifa letu. 🎶 Wimbo: Utupe Haki na Amani ya Kweli 🎤 Kwaya: Mt. Yudathadei Njombe ✍️ Mtunzi: Mdage GN ⛪ Tukio: Siku ya Kuombea Hakina Amani ya Tanzania 📹 Aina: Church Performance 🙏 Tazama na uungane nasi kwa sala hii ya taifa: 👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe kwa nyimbo zaidi za kuinua imani na kujenga moyo wa uzalendo. “Ee Mungu wa milele, utupe amani ya kweli na haki kwa vizazi vyetu na taifa letu Tanzania.” #UtupeHakiNaAmani #MtYudathadeiNjombe #MdageGN #NyimboZaKikatoliki #SikuYaAmani #KwayaYaNjombe #Tanzania