У нас вы можете посмотреть бесплатно Friday Ndimbwa- Hujaniacha (Official Video Lyrics) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Friday Ndimbwa- Hujaniacha (Official Video Lyrics) Nilimpoteza baba mzazi nikiwa na miaka miwili, Lakini Mungu hakuniacha alikuwa na mimi hata sasa ni Ebenezer. Nilipata chuo lakini mkopo wa kunifanya nisome sikupata kutoka Bodi ya Mkopo. Lakini siku naenda kufuatilia barua kwa ajili ya kusimamisha masomo kwa sababu ya kukosa ada ya chuo, Mungu aliniinulia mtu ambaye alinitafutia wafadhili ambao walilipa milioni 1 na nusu kama ada ya mwaka mzima. Isaya 43:2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Words by Friday Ndimbwa Produced by Nsajigwa Mordecai (Mordens music) Back vocals by Flora Kachema Video Lyrics by Edwin Ngula and Samuel Mnzava Instagram and facebook friday_ndimbwa