• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel скачать в хорошем качестве

Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel 10 years ago

Bongo Flava

Tanzania

Kenya

Uganda

Aytanzania

Mxcarter

Bongo

Swahili

News

Ay

MwanaFA

Diamond

auntyezekiel

wemasepetu

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel

Mwaka 1986, mnamo tarehe 28 Oktoba, anga la sanaa Tanzania liliongeza Nyota ingine. Si Mwingine bali ni Aunty Ezekiel Greyson. Kwa wale wakongwe watamkumbuka Ezekiel Greyson aka Jujuman, mmoja wa wanasoka maarufu miaka ya 1970 na 1980, naye ndie baba Mzazi wa Nyota wetu. Ambacho hatukujua ni kuwa leo hii, huyu angekuja kuwa mmoja kati ya kivutio kikubwa kwenye tasnia ya Uigizaji Filamu nchini na hata pale popote Kiswahili kinapofika. Akiwa mtoto wa pekee kike kwa Baba yake, ilizua tafrani kwa mashangazi zake, kila mmoja akitaka mtoto aitwe jina lake, kuondoa ugomvi, ndipo alipopewa jina la "Aunty" kuwakilisha Mashangazi zake wote bila ubaguzi. Maisha yake baada ya Elimu za awali yaliingiliwa na ukakasi pale alipokosakosa kuolewa bila yeye kuridhia, hata hivyo baada ya kuingia mjini na kuhangaika alivyoweza hatimae alifanikiwa kuendelea na masomo kidato cha nne na kompyuta. Kuingia katika Sanaa ya Uigizaji kulianza pale aliposhiri Miss Mwanza mnamo mwaka 2006, wakati akiwa katikati ya shughuli ya uigizaji wa filamu ya "Miss Bongo" iliyoongozwa na William Mtitu. Kutokufanikiwa katika mashindano hayo ya Miss Tanzania kulimfanya afanye uchaguzi wa kubaki katika fani ya uigizaji aliyoendelea nayo mpaka hii leo. Upande wa mahusiano ya Kimapenzi, Aunty alikutana na PDG maarufu Jijini Jack Pemba, ambae walifunga ndoa mwaka 2007, na pamoja na mifarakano ya hapa na pale ndani ya ndoa, zaidi kwa sababu ya wivu wa penzi, Aunty alifanikiwa kupata ujauzito, ingawa haikuwa rizki kwani ilipofika miezi 7 alijifungua na mtoto kufariki. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa hatimae akatengana na Jack. Kwa sasa ameolewa tena na anaendeleza fani yake.....ingawa la muhimu zaidi....ameonekana kuwa karibu sana na Wema Sepetu, mshindi wa Shindano la Unyange la 2006, na pia rafiki wa kiume wa Wema, Diamond na wengineo! Mastaajabu hayaishi, utamsikia akiongea mengi na Mkasi TV, na zaidi, kupata undani wa nini tutegemee toka kwake. L•O•V•E Follow MkasiTV on Facebook :   / mkasitv   Twitter : @MkasiTV Instagram @MkasiTV

Comments
  • Mkasi - SO5E03 With P Funk 12 years ago
    Mkasi - SO5E03 With P Funk
    Опубликовано: 12 years ago
    154718
  • Mkasi - SO6E05 with Jokate 11 years ago
    Mkasi - SO6E05 with Jokate
    Опубликовано: 11 years ago
    225954
  • Premier Full Episode - Selina S1E1 | Maisha Magic East 7 years ago
    Premier Full Episode - Selina S1E1 | Maisha Magic East
    Опубликовано: 7 years ago
    2339011
  • EXCLUSIVE: AUNTY EZEKIEL aelezea kuumizwa kwake na Moze Iyobo kuomba hela wanawake wengine/nimemzidi 5 years ago
    EXCLUSIVE: AUNTY EZEKIEL aelezea kuumizwa kwake na Moze Iyobo kuomba hela wanawake wengine/nimemzidi
    Опубликовано: 5 years ago
    504639
  • Snowy Mountain Peaceful Classical Piano Stream – Live for Relaxation, Winter Calm  Sleep Relax Music
    Snowy Mountain Peaceful Classical Piano Stream – Live for Relaxation, Winter Calm Sleep Relax Music
    Опубликовано:
    0
  • Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version 10 years ago
    Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
    Опубликовано: 10 years ago
    1088693
  • A Point Of No Return Part 2 - Wema Sepetu & Steven Kanumba (Official Bongo Movie) 6 years ago
    A Point Of No Return Part 2 - Wema Sepetu & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)
    Опубликовано: 6 years ago
    3444663
  • Заявление Президента России для СМИ 8 hours ago
    Заявление Президента России для СМИ
    Опубликовано: 8 hours ago
    514848
  • Progressive House 24/7:  Melodic Beach & Adventure Music
    Progressive House 24/7: Melodic Beach & Adventure Music
    Опубликовано:
    0
  • СРОЧНО!МОРОЗОВ: 10 hours ago
    СРОЧНО!МОРОЗОВ: "Увы, это плохо. Теперь мы еще ближе к большой войне": чем опасна ночная речь Путина
    Опубликовано: 10 hours ago
    151950

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS