У нас вы можете посмотреть бесплатно NAIPENDA NCHI YANGU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
“Naipenda Nchi Yangu” ni wimbo unaogusa mioyo na kufungua fikra juu ya mabadiliko yanayoonekana katika jamii yetu leo. Ni wimbo unaoonyesha namna ambavyo taifa limebadilika, hali ya upendo na mshikamano kupungua, huku viongozi wa dini wengi wakisahau wajibu wao wa kuhubiri amani, uadilifu na umoja kwa waumini wao. Kupitia sauti ya uhalisia na ujumbe mzito, wimbo huu unatoa wito kwa kila Mtanzania kusimama, kupenda nchi yake, na kurudisha thamani ya amani tunayojivunia. Ni wakati wa viongozi wa kiroho kuamka na kuongoza kwa mfano, kuhubiri upendo, mshikamano na kujenga taifa lenye maadili. Karibu kutazama, kusikiliza na kushiriki ujumbe huu muhimu kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Usisahau ku-subscribe, ku-like na kushare ili ujumbe ufike mbali zaidi. #NaipendaNchiYangu #JoshuaJohnas #MusicVideo #Amani #GospelMessage #Tanzania #PeaceAndUnity