У нас вы можете посмотреть бесплатно Saratani ya Damu (Leukemia) Ni Nini? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Saratani ya Damu (Leukemia) tukiwa na Dkt. Ahlam Nasser Leukemia ni aina ya saratani inayohusisha uloto – kiwanda cha kuzalisha chembe-chembe hai za damu mwilini. Katika video hii ya elimu, Dkt. Ahlam Nasser anaelezea: Dalili za leukemia, ikiwemo: Kuchoka kupita kiasi, kupungua kwa kinga mwili, na kuvuja damu bila sababu. Vipimo vinavyotumika kutambua ugonjwa huu, kama picha ya damu na bone marrow biopsy. Njia mbalimbali za matibabu, kama chemotherapy, targeted therapy, na bone marrow transplant. Pata uelewa zaidi kuhusu saratani ya damu, jinsi inavyoathiri mwili, na hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kupata matibabu bora. Elimu ni hatua ya kwanza ya kuokoa maisha. ________________________________ What is Leukemia Leukemia is a type of cancer that affects the bone marrow – the factory for producing blood cells in the body. In this educational video, Dr Ahlam Nasser explains: Symptoms of leukemia, including: Extreme fatigue, weakened immunity, and unexplained bleeding. Tests used for diagnosis, such as blood tests and bone marrow biopsies. Treatment options, including chemotherapy, targeted therapy, and bone marrow transplants. Gain insights into blood cancer, how it impacts the body, and the steps to take for effective treatment. Knowledge is the first step toward saving lives. Presented by : Dr Ahlam Nasser Produced by : @k15photos